Idara ya usalama kaunti ya Kwale inawahakikishia wageni wanaozuru ukanda wa kusini mwa pwani kuwa usalama uko imara katika msimu huu wa shamra shamra za krismasi na mwaka mpya. Na Kama anavyotueleza mwanahabari wetu wa Kwale Nicky Gitonga serikali itaendelea kutekeleza marufuku ya watoto kuzuru fuo za Bahari ifikapo saa kumi na mbili jioni 
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya
Hali ya usalama wa Kwale | |
| 177 views views | 872,064 followers | 
| 0 Likes | 0 Dislikes | 
| News & Politics | Upload TimePublished on 14 Dec 2018 | 
Không có nhận xét nào:
Đăng nhận xét